Kiswahili Lesson Plans

Kiswahili Lesson Plans

                  MIPANGILIO YA VIPINDI/MASOMO      MUHULA WA KWANZA       KIDATO CHA PILI

JINA LA  MWALIMU:

NAMBARI LA TSC:

SHULE :……………………………………………………………MWAKA:……………………………………………………………………

KIDATO CHA PILI                                                             SOMO LA KISWAHILI

MADA KUU: KUSOMA(UFAHAMU)                             MADA NDOGO :Ndugu majuu na wakazi wa kibabuu

WIKI:………2………………………………………………………NAMBARI LA SOMO:1

TAREHE :…………………………………………………………..WAKATI: DAKIKA 40

SHABAHA : Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze;

  • kusoma kwa matamshi
  • kutumia msamiati na misemo  kwa ufasaha
  •  kujibu maswali kwa usahihi.
  HATUA NA MUDA  YALIYOMO  SHUGHILI ZA MWALIMU NA MWANAFUNZI  NYENZO
  UTANGULIZI (DAK.5)Maamkizi Kupitia somo lililopitaMwalimu na wanafunzi kuamkiana Maelezo mafupi,maswali na majibu kuhusu somo lililopitaWanafunzi wenyewe Matini ya mwalimu
MWENDELEZO (DAK.30)Mwalimu kuwaelekeza wanafunzi kusoma ufahamu, kutambua misamiati,misemo,methali na nahau na kuyapa  maana kamili kulingana na ufahamu kisha wanafunzi kuyatumia katika utunzi wa sentensi  ili kubainisha maana zao kikamilifu  Kusoma ufahamu kwa kina na mantiki Maswali na majibu baina ya mwalimu na wanafunzi kuhusu ufahamu Majadiliano baina ya mwalimu na wanafunzi Utunzi wa sentensiChemi chemi za Kiswahili    2 (uk 1-3) Kamusi ya misemo na nahau(k.w wamithila) Matini ya mwalimu Wanafunzi wenyewe
HITIMISHO (DAK.5)Mwalimu kutoa maelezo mafupi kuhusu somo Zoezi kwa wanafunzi kuhusu somoMaelezo mafupi, maswali na majibu kuhusu somo Wanafunzi kufanya zoeziChemi chemi za Kiswahili    2 (uk 1-3) Kamusi ya misemo na nahau(k.w wamithila) Matini ya mwalimu Wanafunzi wenyewe

JINA LA MWALIMU:……………………………………………..

.NAMBARI LA TSC:………………………………………………………

SHULE :……………………………………………………………MWAKA:……………………………………………………………………

KIDATO CHA PILI                                                             SOMO LA KISWAHILI

MADA KUU: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA          MADA NDOGO : Isimu jamii;

Majadiliano baina ya mwanafunzi na mwalimu

WIKI:…………2…………………………………………………NAMBARI LA SOMO:2

TAREHE :………………………………………………………….WAKATI: DAKIKA 40

SHABAHA : Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze;

  • kuelezea sifa za mazungumzo shuleni
  •  kuweza kuigiza mazungumzo baina ya mwalimu na mwanafunzi
  HATUA NA MUDA  YALIYOMO  SHUGHILI ZA MWALIMU NA MWANAFUNZI  NYENZO
  UTANGULIZI (DAK.5)Maamkizi Kupitia somo lililopitaMwalimu na wanafunzi kuamkiana Maelezo mafupi,maswali na majibu kuhusu somo lililopitaWanafunzi wenyewe Matini ya mwalimu
MWENDELEZO (DAK.30)Isimu jamii; Majadiliano baina ya mwalimu na mwanafunzi; Mwalimu kutoa maelezo ya maana ya isimu jamii na sifa za majadiliano baina ya mwalimu na mwanafunzi Mwalimu kuwaelekeza wanafunzi kusoma majadiliano baina ya mwalimu na mwanafunzi na wanafunzi kuweza kuigiza darasani.Majadiliano  baina ya mwalimu na wanafunzi kuhusu sajili ya darasani Maelezo kutoka kwa mwalimu Majibu na maswali baina ya mwalimu na wanafunzi Kusoma mazungumzo baina mwalimu na mwanafunzi Uigizaji wa mazungumzo hayoChemi chemi za Kiswahili    2 (uk 4-5) Matini ya mwalimu Wanafunzi wenyewe
HITIMISHO (DAK.5)Mwalimu kutoa maelezo mafupi kuhusu somo Zoezi kwa wanafunzi kuhusu somoMaelezo mafupi, maswali na majibu kuhusu somo Wanafunzi kufanya zoeziChemi  chemi za Kiswahili   2 (uk 4-5) Matini ya mwalimu Wanafunzi wenyewe

JINA  LA MWALIMU:……………………………………………..

.NAMBARI LA TSC:………………………………………………………

SHULE :……………………………………………………………MWAKA:……………………………………………………………………

KIDATO CHA PILI                                                             SOMO LA KISWAHILI

MADA KUU: SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA    MADA NDOGO : Mofimu

WIKI:…………2……………………………………………………NAMBARI LA SOMO:3

TAREHE :…………………………………………………………..WAKATI: DAKIKA 40

SHABAHA : Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze;

  • kueleza maana ya mofimu na aina zake
  • kuweza kutambua  mofimu katika maneno
  • kutaja maana mbalimbali zinazowakilishwa na mofimu
  HATUA NA MUDA  YALIYOMO  SHUGHILI ZA MWALIMU NA MWANAFUNZI  NYENZO
  UTANGULIZI (DAK.5)Maamkizi Kupitia somo lililopitaMwalimu na wanafunzi kuamkiana Maelezo mafupi,maswali na majibu kuhusu somo lililopitaWanafunzi wenyewe Matini ya mwalimu
MWENDELEZO (DAK.30)Mofimu; Mwalimu kutoa maelezo ya maana ya mofimu, aina za mofimu, kuonyesha mofimu katika maneno na kutaja maana mbalimbali zinazowakilishwa na mofimu Wanafunzi kusikiliza kwa makini na kuandika maelezo ya mwalimuMajadiliano baina ya mwalimu na wanafunzi Maelezo kuhusu somo kutoka kwa mwalimu Mazungumzo baina ya mwalimu na wanafunzi Maswali na majibu baina ya mwalimu na wanafunzi Wanafunzi kuandika maelezo ya mwalimu  Chemi chemi za Kiswahili    2 (uk 6-8) Matini ya mwalimu Wanafunzi wenyewe
HITIMISHO (DAK.5)Mwalimu kutoa maelezo mafupi kuhusu somo Zoezi kwa wanafunzi kuhusu somoMaelezo mafupi, maswali na majibu kuhusu somo Wanafunzi kufanya zoeziChemi chemi za Kiswahili    2 (uk 6-8) Matini ya mwalimu Wanafunzi wenyewe